Kuhusu Mradi wa Kigamboni Housing Estate:
Kigamboni Housing Estate ipo Kigamboni katika eneo linalofikika kirahisi, kilomita 17 kutoka Feri. Kigamboni Housing Estate ni mradi wa nyumba 182 zilizopangwa kwa kuzingatia vigezo vya miji ya kisasa yenye huduma za msingi zikiwemo sehemu za kuchezea watoto na shughuli mbalimbali za jumuiya, barabara pana inayotoa fursa kwa watembea kwa miguu na baiskeli kuwa huru vilevile, imezingatia nafasi ya miundombinu kama vile mitaro na umeme.
Kila nyumba inajitegemea ikiwa na eneo kubwa kwa ajili ya matumizi binafsi ya wakazi ikiwa ni pamoja na maegesho ya magari hadi matatu.
Kigamboni Housing Estate ina nyumba za aina mbili, nyumba ya vyumba vitatu na vyumba viwili. Nyumba ya vyumba vitatu ina ukubwa wa 70m²
huku nyumba ya vyumba viwili ikiwa na ukubwa wa 56m²
Sifa za Nyumba za Kigamboni Housing Estate
⇒
Chumba kinachojitegemea kwenye nyumba ya vyumba vitatu,
⇒
Kila nyumba ina sebule na sehemu ya kulia chakula,
⇒
Jiko la nje,
⇒
Eneo la zahanati,
⇒
Eneo la kucheza watoto,
⇒
Eneo la shule ya chekechea,
⇒
Eneo la maduka.
Maelezo Kuhusu Mradi(Project Catalog Kit)
Fomu ya Maombi(Bonyeza kuipata)
Utaratibu wa Ununuzi(Bonyeza kuipata)
NATIONAL HOUSING CORPORATION
"NHC is under the Ministry of Lands, Housing and Settlements Development. The Ministry is represented by the Board of Directors which is responsible for the corporate policies and strategies. The day to day management of NHC's business is overseen by the Director General who is responsible to the Board of Directors."
nhc broad objectives
• To redress the problem of shortage of housing in the country by constructing a minimum of 15,000 units over the next five years.
• To enhance the position of the real estate sector in the national economy.
• To earn a fair rate of return on corporate investment.